Meena Ally Kuanza Rasmi Kupasha Wakenya Habari Za Burudani Za Tanzania

Burudani kwa sasa Duniani inapewa kipao mbele na wanarika pamoja na Wazee haswaa ile ya muziki na filamu na kupitia utafiti huo, Vipindi vya burudani vimepata umaarufu duniani na kuwekwa  mstari mbele kando na kandanda pamoja na Mbio.

Image result for entertainment

Kutokana na Utafiti Huo imebidi kila mtangazaji wa burudani atafute njia za kupenyeza  sauti yake kuskika nje ya nchi yake.

Meena Ally

Kwa Sasa Mwanahabari Maarufu wa Kike Toka Tanzania Clouds Fm anaeendesha Kipindi Cha Aplifaya Pamoja na Millard Ayo . Atakua anaanza rasmi Tarehe moja mwezi wa kumi  Kuelezea matukio yote ya Wasanii wa Bongo nchini Kenya Kupitia Runinga Ya Y254 Kipindi Cha Ymashariki Kinachoendeshwa na Ken Rel Bis Pamoja Na Dj Tiesqa Kila Jumatatu Saa Moja Unusu Usiku.

Meena Ally

Meena Ally Ndio Atakua Mdada Wa Kwanza Mwanahabari  Tanzania Kuhakikisha Anawapa Umaarufu Wasanii Wa Tanzania Kupitia Habari Za Burudani

Meena Ally

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *