Victoria Kimani Ana Haya Yakusema Baada Ya Kufananishwa Na Nicki Minaj

Msanii anae kaa marekani ambae asili yake ni ya hapa Kenya, Victoria Kimani ameweza kujipata katika hali isiyo mfurahisha wakati amekua katika tour yake ya Ufaransa Jiji la Paris aliweza kukutana na wachumba wawili wakiwa na mtoto na wakamuomba apige picha na mtoto huyo na baadae akaja kugundua kuwa wazazi hao walimsihi kupiga picha na mtoto wao wakidhani yeye ni Nicki Minaj.

Victoria Kimani Na Mtoto Huyo

“So…. here I was… doing touristy things In Paris…. and this Couple came up to me and literally handed me their baby and told me to take a picture with her… I later found out that they thought that I was @nickiminaj… While I do appreciate the Ultra sweet compliment but guys… I don’t look like the Queen… not even a little bit…. one day…. this child will grow up and realize that I am in fact…. not Nicki…. but a Popstar from AFRICA ( which is super cool too) anyway… we look cute in our matching hats,” Aliandika Victoria Kimani

Huyu ndio Nicki Minaj Anaefwananishwa na Victoria Kimani
Kwa upande mwingine mashabiki walifungua ya moyoni na kukiri kuwa ni kweli wanafwanana. Ila kwa upande wa Victoria alionekana akijibu commets kwa kukana..
Commennts za mashabiki

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *