NEW VIDEO: ZAGGAH-LILAVIATOR

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kwa jina Lil Aviator mwenye makazi hapa jijini nairobi ameachia kibao chake kipya kwa jina Zaggah. Aviator ambae anajikwamua vilivyo kuhakikisha kuwa anafikia malengo yake ya kuiteka kwa nguvu tasnia ya sanaa ya muziki na burudani Africa Mashariki ameamua kuachia ngoma yake mpya ikiwa na video yake kwa mpigo. Staa huyu ambaye anaari ya kutengeneza na kuacha historia kwenye muziki nchini Kenya ameongea na meza yetu ya habari ya Chitchat kuwa, japo kuwa ni mwanzo tu ndio mkoko unalika maua, anaamini ipo siku atakuja kuweka alama itakayo mtambulisha kimuziki si

hapa Kenya pekee bali Africa nzima. Hata hivyo hapa chini nimekusogezea video yake mpya kwa jina Zaggah ili uweze kuitazama.

 

 

 

 

 

 

 


 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *